Friday, February 6, 2009

Siku ya mwisho

Siku ya mwisho ilikuwa nzuri katika mafunzo yetu kwa kuwa wengi tulianza kupata uelewa kuhusu matumizi ya websites, blog na intaneti kwa hiyo majadiliano yalikwa live zaidi.

Mafunzo kama haya yakitolewa kwa waandishi wa habari wengi zaidi yatakuwa na manufaa makubwa kwa taifa katika maendeleo ya habari nchini. Pia napendekeza nguvu zielekweze mikoani ili kusiwe na tofauti kubwa ya waandishi wa huko na wale wa Dar es Salaam.

Napata picha kuwa watu wa mikoani wakiwa na blog na wakijua jinsi ya kuzifungua na kuzitumia wanaweza kuwa na mchango mkubwa kuliko wa mjini.

mnkondo

No comments:

Post a Comment